KLABU ya Yanga inatarajia kusajili nyota watano wa kimataifa kwajili ya msimu ujao.
Katika jitihada za kuimalisha kikosi chao yanga wamesha kamilisha baadhi ya sajili za kimataifa tayari kwa maandalizi ya msimu ujao wa klabu bingwa barani afrika.
Yanga mbaka sasa wamekamilisha sajili za wachezaji wawili kati ya watano na wachezaji hao ni, Lazarous Kambole raia wa zambia aliyekuwa anachezea kizer chief ya Afrika kusini na Benard Morrison aliyekuwa Simba, Ambao bado kutangazwa ni pamoja na joyce lomarisa, Aziz Ki na Gael Bigirimana.
Lazarous Kambole
Bernard Morrison
Joyce Lomarisa
Aziz Ki
Gael Bigirimana
Aziz Ki
Lazarous Kambole
Gael Bigirimana
Bernard Morrison
Joyce Lomarisa
0 Comments