Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO: Jezi Mpya za Yanga msimu wa 2023/2024

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Leo July 5,2023 Yanga ikiwa nchini Malawi imezindua JEZI mpya ambazo zinatarajiwa kutumika kwa msimu wa 2023/24.

Kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ally Kamwe amesema kuwa uzi huo unapatikana nchi nzima.

“Jezi yetu mpya ambayo tumeizindua kwa sasa inapatikana nchi nzima kwa wakazi wa mikoani wasiwe na shaka uzi wetu utafika kila sehemu ambapo mawakala wetu wapo.

“Bei rasmi ya Jezi inapatikana kwa Tsh. 40,000 tu.” .

Rasmi hizi ndio jezi mpya za Young Africans SC kwa msimu wa 2023/24. Klabu kubwa na namba moja nchi ikienda kutafuta Ubingwa wa 30 wa Ligi KuuPost a Comment

0 Comments