Ticker

6/recent/ticker-posts

Klabu Ya Fulham Wanamwinda Andreas Pereira Kwa Paundi Milioni 11

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Klabu ya  Fulham Wameweka dau la Paundi Milioni 11 kumnunua beki wa Manchester United Andreas Pereira.

Kulingana na vyanzo vya habari, Pereira hayumo katika mipango ya meneja wa United Erik ten Hag kwa msimu ujao.

Na Man United wako tayari kumuuza kiungo huyo mshambuliaji kwa dau lililopunguzwa msimu huu wa joto.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa kwa mkopo katika klabu ya Flamengo kwa mwaka jana lakini wababe hao wa Brazil wanasitasita kufanya mkataba huo kuwa wa kudumu baada ya mabao saba pekee katika mechi 52.

Na hilo limefungua milango kwa Fulham kumnasa mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil.

Post a Comment

0 Comments