Kocha Wa Manchester United Erik ten Hag ameanza kazi Jumatatu akikabiliwa na punguzo la pesa Old Trafford ambalo linatishia kutatiza mipango yake ya ujenzi mpya, kama alivyosema Ken Lawrence wa SunSport.
Wakati Mkurugenzi Mtendaji wa United, Richard Arnold aliwaambia mashabiki katika mkutano wa hivi majuzi kwamba pesa sio jambo la kuzingatia sana katika soko la uhamisho wa majira ya joto, hivyo basi bado hatampa Ten Hag Kiasi cha pesa alichokuwa anakihitaji.
Wakati huo huo Mashetani Wekundu(Red Devils) wapo katika mchakato wa kutafuta wawekezaji kufadhili utengenezaji wa uwanja mpya au ukarabati mkubwa wa Old Trafford.
Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi
0 Comments