Ticker

6/recent/ticker-posts

Young africans yakamilisha usajili wa Pacôme Zouzoua kutoka Asec Mimosas

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Klabu ya Young africans kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi Pacôme Zouzoua (26) kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast.

Zouzoua amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumika klabu hiyo.

Zouzoua ni kiungo mshambuliaji kutoka Asec mimossas Ndiye MVP wa ligi ya Ivory coast ni mchezaji mkubwa mwenye thamani kubwa.

Post a Comment

0 Comments