Ticker

6/recent/ticker-posts

simba sc yamalizana na clatous chota chama

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

UONGOZI wa Simba Sc umemalizana na kiungo Clatous Chama baada ya majadiliano na kiungo huyo kwenda vizuri.

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC rasmi

Nyota huyo sasa ataondoka nchini muda wowote kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake.

Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabakaji, Fabrice Ngoma.

Post a Comment

0 Comments