Ticker

6/recent/ticker-posts

Nasreddine Nabi atua FAR Rabat ya Morocco

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya FAR Rabat ya Morocco.

simba sc yamalizana na clatous chota chama

Yaliyopita yamepita, na nimependezeshwa na changamoto mpya, yapo mengi ya kufanya kuwathibitishia watu tofauti, naangalia mbele kuanza rasmi kazi.” amesema Nabi.

Imeelezwa Nabi ameamua kwenda na benchi lake la ufundi.

Post a Comment

0 Comments