Ticker

6/recent/ticker-posts

Mudathir Yahya atua Yanga

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 

KLABU ya Yanga imekamilisha Usajili wa kiungo wa zamani wa Azam FC, Mudathir Yahya kwa mkataba wa miaka miwili.


Mudathir amejiunga na Yanga akiwa mchezaji huru, baada ya mkataba wake na waajiri wake wa zamani Azam FC kumalizika tangu mwishoni mwa msimu uliopita.


Post a Comment

0 Comments