Ticker

6/recent/ticker-posts

Khalid Aucho Aongeza Mkataba Yanga Hadi 2025

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga, imemuongezea mkataba wa miaka miwili Kiungo wake wa kati Raia wa Uganda Khalid Aucho, Mkataba huo unamfanya aendelee kusalia ndani ya kikosi hicho hadi 2025.


Mkaba wa awali wa mchezaji huyo ulikuwa unamalizika kwenye msimu ujoa ambao unatarajia kuanza hivi karibuni, kufuatia kusaini miaka miwili hapo awali.


Tangu alipo sajiliwa 2021, akitokea klabu ya Misr Lel Makkasa SC ya Misri, Aucho amekuwa na msimu mzuri ndani ya Yanga.


Aucho alijiunga na Yanga Agosti 2021, mpaka sasa amefanikiwa kushinda Kombe la Ligi ,Ngao ya Jamii na Kombe la Shirikisho.


Mudathir Yahya atua Yanga
Post a Comment

0 Comments