Ticker

6/recent/ticker-posts

Augustine Okrah Mali Ya Simba

 • Augustine Okrah ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔

   

RASMI: Klabu ya Simba imemtambulisha kiungo Augustine Okrah kutoka klabu ya Bechem United ya Nchini Ghana kwa uhamisho huru.
  Okrah (28) raia wa Ghana amesaini mkataba wa miaka miwili.
   Takwimu za Okrah msimu uliopita ni magoli 14 na assist 3 katika mechi 31.

   VIDEO YA Augustine Okrah

   Post a Comment

   0 Comments