Ticker

6/recent/ticker-posts

KOMBE LA SHIRIKISHO: Yanga Kuminyana na Club Africain kutoka Tunisia

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO: Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho,  yanga sc wamepangwa kucheza na Club Africain kutoka Tunisia kwenye michezo ya mtoano kutafuta timu zitakazoingia hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Mechi ya Kwanza mtoano kupigwa Novemba 02, katika Dimba la Benjamin Mkapa na marudiano kuwa Novemba 09.

Post a Comment

0 Comments