Ticker

6/recent/ticker-posts

Simba Wakamilisha Usajili wa Mohammed Ouattara

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

  •  Simba Wakamilisha Usajili wa Mohammed Ouattara

 


Klabu ya Simba SC imekamilisha Usajili wa Beki wa kati wa Kimataifa wa wa Ivory Coast Mohammed Ouattara.

Ouattara ambaye amewahi kucheza Klabu ya Wydad Casablanca atasaini Mkataba wa miaka Miwili na Klabu ya Simba SC akitokea Klabu ya Al Hilal ya Sudan na atatangazwa na Simba SC mda wowote kuanzia hivi sasa.


Post a Comment

0 Comments