Ticker

6/recent/ticker-posts

Chama Mchezaji Bora Wa Wiki Caf

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama amechaguliwa na Shirikisho la Soka Afrika CAF, kuwa mchezaji bora wa wiki wa Klabu Bingwa Afrika, baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa nne wa makundi dhidi ya Vipers SC.


Chama Amewashinda Ahmed Zizo wa Zamalek, Peter Shalulile wa Mamelodi Sundowns na Walid Sabbar wa Raja.


Habari Kubwa Za Magazeti Ya Leo March 16, 2023

Post a Comment

0 Comments