Ticker

6/recent/ticker-posts

Watatu Yanga wagombea Tuzo ya Kiungo Bora

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

KLABU ya YANGA Imetoa nyota watatu wanao wania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambazo zinatarajiwa kufanyika Julai 7,2022. 

Viungo wote watatu kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania ni mali ya Yanga ambapo ni Feisal Salum,Salim Aboubhakar na Yannick Bangala.

Feisal msimu huu amecheza mechi 26 na kuyeyusha dk 2,071 akitupia mabao 6 na pasi 4 za mabao.

Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi

Bangala yeye amecheza mechi 23 ametumia dk 2,074.

Sure Boy akiwa ndani ya kikosi cha Yanga amecheza mechi 14 za ligi na ametoa pasi moja ya bao akiwa ametumia dk 1,033.

Post a Comment

0 Comments