Ticker

6/recent/ticker-posts

Simba SC Yapokelewa Kwa Kishindo Mbeya

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 Mbali na Simba Sc Kukosa ubingwa wa kombe la NBC cup msimu huu, Mashabiki wao bado wanawakubali wekundu hao wa Tanzania. 


Maelfu ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi kukipokea kikosi chetu baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa tayari kwa mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons.

Tangu tulivyoshuka Uwanja wa Ndege tumewakuta mashabiki wengi wakitusubiri kwa ajili ya kuwalaki wachezaji.

Mashabiki wetu wa Mbeya wametufanya kujiona tuna deni kubwa na tumejipanga kuhakikisha tunawalipa furaha kwa kupata ushindi kwenye mchezo wa leo.


Mashabiki wetu kote nchini wameonyesha kuwa pamoja nasi katika nyakati zote nasi tunathamini mchango wao.

Je Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi


Post a Comment

0 Comments