Ticker

6/recent/ticker-posts

Tetesi Za Soka Manchester United Barani Ulaya Leo July 25, 2023

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa


Manchester United iko tayari kuwasilisha ofa rasmi kwa Atalanta kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji wa Denmark Rasmus Hojlund, 20 wiki hii.

Robertinho Aridhishwa na kikosi cha Simba SC

United wako tayari kulipa £60milioni tu kwa ajili ya mchezaji huyo, ambayo ni pungufu ya euro milioni 100 (£86.5m) wanayoitaka klabu hiyo ya Italia. 


Mashetani wekundu hao pia wanamfuatilia mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt mwenye umri wa miaka 24 Mfaransa Randal Kolo Muani, na kocha Erik ten Hag anavutiwa na mshambuliaji mwingine wa Ajax, Mghana Mohammed Kudus, 22, ambaye pia amekuwa akihusishwa na Chelsea. 


Ten Hag pia anatarajia kuimarisha safu yake ya ulinzi kwa kusajili golikipa wa akiba wa timu yake. Anamataka mchezaji wa kimataifa wa Uturuki wa Fenerbahce, Altay Bayindir, 25. 

Kemba Walker Asaini Kandarasi Mpya AS Monaco



Post a Comment

0 Comments