Ticker

6/recent/ticker-posts

Simba Yaanza Kwa Sare Ya 1-1 Kimataifa

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Wekundu wa Msimbazi (Simba) Julai 24 imecheza mechi ya kwanza ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Zira FC inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijani kwenye uwanja wa Voneesortna uliopo mjini Bolu, Uturuki.

         Robertinho Aridhishwa na kikosi cha Simba SC

Mechi hiyo imemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1 huku bao la Simba limefunga kupitia kwa Kibu Denis akimalizia pasi ya Saido Ntibazonkiza kipindi cha kwanza.


Bao la kusawazisha la Zira limefungwa na Rustam Ahmadzade akisawazisha dakika ya 63.

Kemba Walker Asaini Kandarasi Mpya AS Monaco

Post a Comment

0 Comments