Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA: Maxi Nzengeli akiwa na rais wa Young Africans Eng Hersi

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa winga wa Klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia Nzengeli na Kutambulishwa na rais wa timu hiyo Eng.Hersi Ally Saidi.

Nzengeli ni kati ya wachezaji ambao wamesajiliwa na Young Africans kwa ajili ya kuboresha kikosi chao kwa msimu wa 2023/24.

Fabrice Luamba Ngoma atambulishwa Simba SC rasmi

Winga huyo anayetumia mguu wa kulia, anachukua nafasi ya Mkongomani mwenzake, Tuisila Kisinda aliyekutana na ‘Thank You’ hivi karibuni akirejeshwa RS Berkane ya nchini Morocco.

Post a Comment

0 Comments