Ticker

6/recent/ticker-posts

Jefferson Luis Kipa Mpya Simba Sc

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili Mlinda mlango Jefferson Luis kwa mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Resende inayoshiriki Ligi Kuu ya Jimbo la Rio de Janeiro, Brazil almaarufu ‘Campeonato Carioca’

Simba SC yamrejesha Luis Miquissone Rasmi

Jefferson (29) raia wa Brazil anatua klabuni hapo kama pendekezo la kocha mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kuziba nafasi ya Aishi Manula ambaye ni majeruhi.

Post a Comment

0 Comments