Ticker

6/recent/ticker-posts

Gamondi bado tunaendelea kusajili

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Kocha mkuu Wa Yanga Sc Miguel Gamondi amesema bado wanaendelea kusajili kwa kuifanyia tathmini timu kwa kila mchezaji na nafasi yake wakitumia nafasi ya dirisha hili la usajili.

Jefferson Luis Kipa Mpya Simba Sc

“Hatujafunga usajili makocha tuko kambini, tunaangalia ubora wa wachezaji na tunachotaka tunawasiliana na viongozi wetu wa klabu na tukimhitaji mtu mwingine bora tutampata lengo ni kuwa na kikosi sahihi zaidi,” alisema Gamondi na kuongeza;

“Nina furaha na kazi inayoendelea ya usajili, mashabiki wetu wataona kuanzia kwenye Ngao ya Jamii.

Post a Comment

0 Comments