Ticker

6/recent/ticker-posts

FT: Yanga 1-0 Mtibwa Aziz Ki Azidi Kuwatesa Makipa Wa Ligi Kuu Nbc

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 KLABU ya Yanga Sc imezidi kujikita juu katika msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kufanikiwa kuibuka na Ushidi wa mabao 1-0 dhidi Mtibwa Sugar katika  uwanja wa manungu Mjini Morogoro.

Goli la yanga limefungwa na Aziz Ki katika dakika ya 26 ya mchezo kwa njia ya faulo iliyomshinda golikipa wa mtibwa sugar na kujaa kimiani.


Kwa ushindi huo Yanga SC wamefikisha Pointi 50 na kuiacha Simba FC kwa tofauti ya Pointi 6 katika nafasi ya pili.


Kikosi Cha YANGA kilichoanza dhidi ya Mtibwa Sugar 

Post a Comment

0 Comments