Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika Yanga uso kwa uso na Tp Mazembe

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Droo ya kupanga Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika leo Jijini Cairo nchini Misri na Wawakilishi wa Tanzania kwenye #CAFCC wamepangwa kundi D sambamba na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, US Monastir ya Tunisia na Real Bamako ya Mali.


KUNDI A

USMA(Algeria)

M. Gallants (Afrika Kusini)

Al Akhdar (Libya)

St Eloi Lupopo (DRC)


KUNDI B

Asec Mimosas (Ivory Coast)

Diables Noirs (Congo)

Rivers United (Nigeria)

DC Motema Pembe (DRC)


KUNDI C

Pyramids (Misri)

ASKO KARA (Togo)

Future FC (Misri)

ASFAR Club (Morocco)


Post a Comment

0 Comments