Ticker

6/recent/ticker-posts

HII HAPA RATIBA KAMILI MECHI ZA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

DROO ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF imepangwa mchana wa jana na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga ni miongoni mwa timu 16 zinazoshiriki hatua hiyo ikiwa imepangwa kwenye Kundi D pamoja na TP Mazembe, US Monastir, na Real Bamako

Na Hii ndio ratiba kamili ya hatua ya Makundi ya kombe hilo:

MECHI YA KWANZA: 12 Februari 2023

US Monastir v Young Africans

MECHI YA PILI: 19 Februari 2023

Young Africans v TP Mazembe

MECHI YA TATU: 26 Februari 2023

Real Bamako v Young Africans

MECHI YA NNE: 08 MACHI 2023

Young Africans v Real Bamako

MECHI YA TANO: 19 MACHI 2023

Young Africans v US Monastir

MECHI YA SITA: 2 APRILI 2023

TP Mazembe v Young AfricansPost a Comment

0 Comments