Ticker

6/recent/ticker-posts

Henock Inonga ongezea mkataba Simba Sc hadi 2025

KLABU ya Simba Sc ya Dar es Salaam imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili beki wake raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Henock Inonga Baka hadi mwaka 2025.


Mkataba wa sasa wa Simba na Inonga unatarajiwa kumalizika Mei mwaka 2023.


Henock Inonga Baka alijiunga na Simba Sc akitokea DC Motema Pembe ya Congo.


Sadio Ntibanzokinza atua Simba Sc


Post a Comment

0 Comments