Ticker

6/recent/ticker-posts

YANGA 3 - 0 MTIBWA AZIZ KI AANZA KAZI

Magoli ya Djuma Shabani, Fiston Mayele na Aziz Ki yanaipa yanga uongozi katika NBCPL baada ya hii leo kufanikiwa kuifunga mtibwa sugar goli 3-0.


Mapumziko dk 45 za kipindi cha kwanza zilimalizika kwa yanga kuwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya mtibwa sugar kabla ya Aziz Ki kuhitimisha kwa kufunga goli la tatu dk ya 91 ya mchezo.

Magali ya yanga yamefungwa na....

Goooal…!!! Ni ‘free-kick’ ya Djuma Shaban dakika ya 33.

Goooal…!!! Fiston Mayele dakika ya 38

Goooal…!!! Aziz Ki dakika ya 90+1

Kikosi Cha YANGA kilichoanza dhidi ya Mtibwa Sugar #TimuYaWananchi

#DaimaMbeleNyumaMwiko

TAZAMA MAGOLI YOTE YA YANGA DHIDI YA MTIBWAPost a Comment

0 Comments