Ticker

6/recent/ticker-posts

Ally Kamwe Afisa Habari Young Africans SC

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 Ally Kamwe Afisa Habari Young Africans SC. 

𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 𝗡𝗘𝗪𝗦: Klabu ya Yanga imemteua Mchambuzi Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya wa klabu hiyo huku Privaldinho Abiud akiteuliwa kuwa msimamizi Mkuu wa Digital (Digital Manager) kwa lengo la kusimamia platforms zote za habari za klabu hiyo.

Karibu kwenye #TimuYaWananchi karibu kwenye familia ya Mabingwa🔰

AliKamwe

Imethibitishwa, mchambuzi wa soka nchini @alikamwe amechukua nafasi ya Uafisa habari wa @yangasc , huku Mchambuzi wa soka pia @privaldinho rivaldinho akichukua nafasi ya mkuu wa kitengo cha digital cha @yangasc

#DaimaMbeleNyumaMwiko


Priva Abiud (Privaldinho) - Ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digitali na Maudhui (Digital Manager)

Post a Comment

0 Comments