Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA: SADIO KANOUT KUIKOSA TANZANIA PRISON

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

KIUNGO wa Simba SC, Sadio Kanoute kesho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC, dhidi ya Tanzania Prisons baada ya mchezaji huyo kuwa na kadi tatu za njano.

Kanout alipata kadi ya njano kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Akapata tena kadi za njano kwenye mechi za NBC Premier League, Simba ilipocheza dhidi ya Geita Gold na kisha ilipocheza dhidi ya KMC.

Prisons itaikaribisha Simba SC Katika dimba la Sokoine jijini  Mbeya kesho saa 10:00 jioni.

Post a Comment

0 Comments