Ticker

6/recent/ticker-posts

Viingilio vya mchezo wa ngao ya Jamii simba vs yanga 2022

Mchezo wa Ngao ya Jamii ambao ni sehemu ya ufunguzi wa pazi la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) nchini kati ya Simba Sc na Yanga SC utachezwa siku ya jumamosi Agosti 13 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam, ambapo kiingilio cha chini kitakua ni silingi elfu Tano..

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, limetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utaanza kutimua vumbi majira ya saa 1:00 kamili Usiku, kuwa ni tsh 7,000 kwa viti yenye rangi ya machungwa, bluu na rangi ya kijani tsh 5,000, VIP B tsh 20,000/= & C tsh 15,000/= na VIP A tsh 30,000/=.

Tiketi za mchezo huo zitaanza kuuzwa siku ya mchezo jumamosi asubuhi saa 2 kamili katika viunga vya maeneo ya uwanja wa Taifa jijini Dar es slaam.


Post a Comment

0 Comments