Klabu ya Simba imejikusanyia jumla ya sh bilion 26 kutoka kwa mdhamini wao wa sasa kampuni ya M-Bet inayo simamia michezo ya bahati nasibu.
"M-Bet ni kampuni namba moja ya michezo ya kubashiriki sasa tunashirikiana na klabu namba moja Tanzania."- Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet, Allen Mushi.
- Mwaka wa kwanza - Bil 4.670
- Mwaka wa pili - Bil 4.925
- Mwaka wa tatu - Bil 5.205
- Mwaka wa nne - Bil 5.514
- Mwaka wa tano - Bil 5.853
Jumla ni Bilioni 26, milioni 168 na Tsh. 5,000."- Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet, Allen Mushi.
0 Comments