Ticker

6/recent/ticker-posts

Sherehe zimekwisha sasa tukutane Agosti 13

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa


MIONGONI mwa burudani zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na kilele cha Siku ya Mwananchi na Siku ya Simba, sherehe ambazo huambatana na michezo ya kirafiki baina ya timu za kigeni zikivaana na wenyeji wao kwa lengo la kunogesha siku hizo, ambapo matokeo yake huongeza shauku  ya kuwakutanisha watani hao.

Yanga wao walimaliza kilele cha siku yao kwa majonzi makubwa baada ya kukubali kupokea adhabu ya mabao 2-0 kutoka kwa Mabingwa wa Uganda wa msimu wa 2021/22, Vipers SC, mchezo uliopigwa tarehe 6 Agosti mwaka huu katika uwanja wa Benjamini Mkapa.

Kwa Simba wao ilikuwa ni shangwe baada ya Wekundu hao wa Msimbazi kwa kuwapa furaha mashabiki wao kwa kuwachapa Mabingwa wa Ethiopia, St. George kwa mabao 2-0 ikiwa ni sehemu ya burudani ya kusheherekea siku ya wanamsimbazi iliyofanyika tarehe 8 Agosti mwaka huu katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Baada ya kumaliza shehere hizo kwa miamba hiyo ya soka nchini Simba na Yanga, burudani imehamishwa katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utaashirikia ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2022/23 utakaopigwa tarehe 13 Agosti, 2022 katika Dimba la Benjamini Mkapa. Ikumbukwe hadi hivi sasa Ngao ya jamii inashikiliwa na klabu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba bao 1-0 msimu uliopita.


Swali la kujiuliza, Je, Yanga wataendeleza ubabe wa kutwaa taji hili au Simba watapindua meza? Cha kufurahisha zaidi, upande wa Sports Betting kupitia kampuni bora ya kubeti Tanzania, Sokabet, unaweza kubeti live (mchezo ukiwa unaendelea) au kabla ya mechi kuanza (pre-match) ili upige pesa huku ukipata burudani.

Nikumegee siri, wapenzi wa soka wengi wanapenda kubeti kabla mechi haijaanza ili wapate uwanja mpana kabisa wa machaguo.

Kwa mechi hii na nyinginezo unaweza kukuta machaguo zaidi ya 400; ni wewe tu uamue ubeti nini, kama vile “double chance”, handicaps, “over/under”, kadi na faulo (kwa pre-match pekee). Na hata mechi ikashaanza kuchezwa unaweza kuendelea kubashiri live magoli ya kipindi cha kwanza, au kipindi cha pili au nani atafunga n.k

Yote haya ni ndani ya Sokabet, the best online casino and sports betting company in Tanzania.

Post a Comment

0 Comments