Ticker

6/recent/ticker-posts

Ratiba ligi kuu tanzania bara 2022/23

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023) umepangwa kuanza rasmi August 13,2023 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii Kati ya Simba SC vs Yanga SC kuchezwa katika Uwanja utakaotajwa na Mamlaka za soka nchini Tanzania.

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo ametangaza rasmi Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/2023 Jumatano ya August 03,2022, ambapo Klabu ya Yanga itafungua pazia lake la Ligi hiyo kwa kuwa mgeni wa Polisi Tanzania FC huku Klabu ya Simba ikiwaalika Geita Gold FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Yanga itacheza mchezo wake wa Kwanza August 16, 2022 huku wapinzani wao Simba wao wakimenyana na Geita Gold FC siku inayofuata ya August 17, 2022.

Aidha Kasongo amesema mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga SC na Simba SC utachezwa October 23, 2022 katika uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 11 Jioni.

Kuhusu ratiba ya Ligi Kuu ya NBC wakati wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia, Kasongo amesema Ligi itaendelea kama kawaida licha ya kuwepo kwa mashindano hayo.

Kwa upande mwingine Mkurugenzi huyo amebainisha kuwa TFF inaendelea kuwasiliana na CAF pamoja na FIFA juu ya kuangalia utekelezaji wa mchakato wa matumizi ya VAR katika mashindano ya Ligi Kuu ya Msimu ujao wa 2022/2023.


RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA 2022/2023 RAUNDI YA KWANZA (1).

➡️August 15,2022
16:00 Ihefu FC vs Ruvu Shooting FC (Highland Estate, Mbeya)
19:00 Namungo FC vs Mtibwa Sugar FC (Majaliwa Stadium, Lindi)

➡️August 16,2022
14:00 Singida Big Stars FC vs Tanzania Prisons FC (Liti Stadium, Singida)
16:00 Polisi Tanzania FC vs Young Africans SC (Sheikh Amri Abeid, Arusha)
19:00 Dodoma Jiji FC vs Mbeya City FC (Jamhuri Stadium, Dodoma)

➡️August 17,2022
16:00 Coastal Union FC vs KMC FC (Mkwakwani Stadium, Tanga)
18:15 Simba SC vs Geita Gold FC (Mkapa Stadium, Dar es Salaam)
20:15 Azam FC vs Kagera Sugar FC (Azam Complex, Chamanzi – Dar es Salaam)

RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA 2022/2023 RAUNDI YA PILI (2).

➡️August 19,2022
16:00 Ihefu FC vs Namungo FC (Highland Estate, Mbeya)

➡️August 20,2022
14:00 Polisi Tanzania FC vs KMC FC (Ushirika Stadium, Kilimanjaro)
16:00 Coastal Union FC vs Young Africans SC (Mkwakwani Stadium, Tanga)
18:15 Simba SC vs Kagera Sugar FC (Mkapa Stadium, Dar es Salaam)
20:15 Dodoma Jiji FC vs Tanzania Prisons FC (Jamhuri Stadium, Dodoma)

➡️August 21,2022
14:00 Mtibwa Sugar FC vs Ruvu Shooting FC (Manungu Stadium, Morogoro)
16:00 Singida Big Stars FC vs Mbeya City FC (Liti Stadium, Singida)
19:00 Azam FC vs Geita Gold FC (Azam Complex, Dar es Salaam)

RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA 2022/2023 RAUNDI YA TATU (3).

➡️September 06,2022
16:00 Geita Gold FC vs Kagera Sugar FC (Nyankumbu Stadium, Geita)
19:00 Young Africans SC vs Azam FC (Dar es Salaam)

➡️September 07,2022
16:00 Mtibwa Sugar FC vs Ihefu FC (Manungu Stadium, Morogoro)
19:00 Simba SC vs KMC FC (Mkapa Stadium, Dar es Salaam)

➡️September 09,2022
16:00 Tanzania Prisons FC vs Mbeya City FC (Sokoine Stadium, Mbeya)

SABABU kupanda kwa bei za Mafuta na hatua zinazochuliwa na Serikali
➡️September 10,2022
16:00 Coastal Union FC vs Polisi Tanzania FC (Mkwakwani Stadium, Tanga)

➡️September 11,2022
16:00 Singida Big Stars FC vs Dodoma Jiji FC (Liti Stadium, Singida)
19:00 Namungo FC vs Ruvu Shooting FC (Majaliwa Stadium, Lindi)

Ratiba nzima ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023 angalia hapa chini.

 











Post a Comment

0 Comments