Ticker

6/recent/ticker-posts

Pascal Wawa na Meddie Kagere watambulishwa Singida Big Stars


Nyota wa zamani wa Simba SC, Pascal Wawa na Meddie Kagere wametambulishwa rasmi leo na Singida Big Stars kwenye Tamasha la Singida Big Day linalofaanyika uwanja wa LITI mkoani Singida

Pia Klabu ya Singida Big Stars imemtambulisha kocha wa zamani wa Yanga SC na Singida United, Hans Van Pluijm kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa ikiwa ni maboresho ya kikosi hicho kuelekea msimu ujao.

Utambulisho huo umefanyika leo Agosti 4, 2022 katika tamasha la Singida Day.


VIDEO:Pascal Wawa na Meddie Kagere wakitambulishwa Singida Big Stars


Post a Comment

0 Comments