Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na wachezaji wetu watatu, Medie Kagere, Chris Mugalu na Taddeo Lwanga.
Baada ya mazungumzo na wachezaji hao hatimaye tumefikia makubaliano ya kuvunja mkataba kwa kuzingatia maslahi ya pande zote. (1/2)
0 Comments