Ticker

6/recent/ticker-posts

,Victor Akpan atua Simba SC kwa mkataba wa miaka miwili

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

ALIYEKUWA KIUNGO wa Coastal Union Victor Akpan amesajiliwa rasmi na Simba kwa mkataba wa miaka miwili kupitia mitandao ya kijamii ya Simba wamethibitisha kumsajili mchezaji huyo.

Kiungo wa katikati ya dimba mwenye uwezo mkubwa wa kuhimili mechi za aina zote. Victor Akpan ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 

Post a Comment

0 Comments