Ticker

6/recent/ticker-posts

Tetesi Za Soka Barani Ulaya

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Tetesi Za Soka Barani Ulaya

RICHARLISON atasaini Tottenham na hatimaye kucheza soka ya Ligi ya Mabingwa, baada ya ada ya pauni milioni 50 kuafikiwa na Everton.

PSG wako tayari kumuuza mchezaji wao wa Brazil Neymar msimu huu wa joto, kulingana na ripoti.

Klabu hiyo ya Paris inasemekana kumtafuta mnunuzi Mbrazil huyo kwa sababu ana kipengele katika mkataba wake ambacho kitaongeza muda hadi 2027 kwa mshahara wa £600,000 kwa wiki ikiwa hawatamuuza ifikapo Ijumaa IJAYO.

Kwingineko, Borussia Dortmund wamepunguza bei ya pauni milioni 103 kumnunua kinda Jude Bellingham.

Barcelona wanaripotiwa kukaribia kumsajili Robert Lewandowski kutoka Bayern Munich kwa takriban pauni milioni 43 msimu huu wa joto.

Miamba hao wa Uhispania wamemweka juu kwenye orodha yao ya uhamisho na wanafanya kila wawezalo kumpata mchezaji wao.

Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi

Post a Comment

0 Comments