Ticker

6/recent/ticker-posts

Sopu Atua Azam FC

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Sopu Atua Azam FC 

Kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Hamis Seleman "Sopu" amejiunga na matajiri wa Jiji Azam FC kwa mkataba wa miaka mitatu.

Sopu aliefanya vyema na Coastal Union msimu wa 2021/2022, alikuwa akiwindwa na vilabu kadhaa kabla ya Azam FC kuibuka wababe.

Sopu ametambulishwa mbele ya Vigogo wa Azam FC, Yusuph Bakhres na Mtendaji Mkuu Abdulkarim Amin.

Sopu alicheza mechi yake ya mwisho na Coastal Julai 2, katika mchezo wa Fainali ya Azam Sports Federation ambapo alitupia magoli matatu.

Soma Pia | Kipa KMC Faruk Shikhalo Afunguka!

Sopu aliibuka mfungaji bora wa Michuano ya Azam Sports akifunga magoli tisa huku akitupia Hat trick mbili

Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi

Post a Comment

0 Comments