Ticker

6/recent/ticker-posts

Mrithi wa Wawa mambo safi Simba

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 Mrithi wa  Pascal Wawa mambo safi SimbaKlabu ya Simba imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili mlinzi Herve Ngomo Takougoum kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Coton Sport FC ya Cameroon.

Ngomo (26) raia wa Cameroon anakuja kama mbadala wa moja kwa moja wa Pascal Wawa aliyeachana na Wekundu hao wa Msimbazi.


Post a Comment

0 Comments