Ticker

6/recent/ticker-posts

'Kalvin Phillips' Ajiunga na Manchester City

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 'Kalvin Phillips' Ajiunga na Manchester CityManchester City Wamethibitisha kumsajili kiungo Kalvin Phillips kutokea Leeds United kwa ada ya uwamisho wa pauni milioni 45.

Phillips amejiunga na Manchester City kwa mkataba wa miaka sita na atachukua nafasi ya kiungo Fernandinho,aliye rejea kwao Brazil kama mchezaji huru.

City walifikia makubaliano na Leeds tangu mwezi June, na sasa wamethibitisha kumsajili kiungo huyo mwenye miaka 26-baada ya kufudhu vipimo vya Afya. 

"Nimefurahi kujiunga  Manchester City," Alisema Phillips wakati akihojiwa. 

Post a Comment

0 Comments