Ticker

6/recent/ticker-posts

Jezi Mpya Simba Msimu 2022/2023 Kutoka Ulaya

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Jezi Mpya Simba Msimu 2022/2023 Kutoka Ulaya

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema Klabu yao itazindua jezi zake za msimu mpya wa mwaka 2022/23 wiki inayoanza kesho Jumatatu na kwamba zitatoka Barani Ulaya na si China tena kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.


"Simba ndio tumekuwa wa kwanza kuanzisha mambo makubwa. Acha wengine waige mambo yetu mazuri, sisi hatutaiga mambo yao mabaya.

JE, UNAHITAJI ARIJA? BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI

"Kuhusu jezi msimu huu tumeacha kwenda kule hung haa (China), sasa jezi zetu zinatoka Ulaya,hazitoki tena Asia. Wiki hii tunazindua," amesema Mangungu.

Soma Pia| Muonekano wa jezi mpya za Azam fc

Post a Comment

0 Comments