Ticker

6/recent/ticker-posts

DE JONG AIKATAA MAN UTD ASEMA ANATAKA KUBAKI BARCELONA

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Frenkie de Jong hatajiunga na Manchester United msimu huu kwa sababu  zake binafsi na za kimichezo.

Ripoti zinadai kuwa kiungo huyo Mholanzi ana nia ya kubaki Barcelona na hataki uhamisho wa kwenda Old Trafford.

Chelsea pia wanavutiwa naye lakini nyota huyo wa zamani wa Ajax anasita kuhamia klabu hiyo ya London, angependelea kuendelea na soka lake Camp Nou.

Post a Comment

0 Comments