Ticker

6/recent/ticker-posts

TUCHEL AHOFIA KUMLETA RONALDO CHELSEA (DAILY MAIL)

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapaGazeti la Daily Mail limeripoti  kuwa kocha  Thomas Tuchel anasita kumsajili Cristiano Ronaldo licha ya Chelsea kuhusishwa pakubwa na nyota huyo wa Manchester United.

Nyota huyo wa Ureno anashinikiza kuondoka Old Trafford na anataka kujiunga na timu nyingine itakayo kuwa inashiriki ligi ya mabigwa ulaya, lakini kocha huyo wa chelsea hajashawishika na fowadi huyo mwenye umri wa miaka 37.

 

Post a Comment

0 Comments