Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa
Hatimaye Juventus wamekamilisha usajili wa Angel Di Maria kwa uhamisho huru (free transfer) akitokea Paris Saint-Germain.
Winga huyo wa Argentina ametia saini mkataba wa mwaka mmoja mjini Turin huku akipanga kurejea katika nchi yake msimu wa ujao wa 2023.
Winga huyo
kwa muda mrefu alikuwa akihusishwa kuhamia Juventus baada
ya mkataba wake na Paris Saint-Germain kumalizika mwishoni mwa msimu huu.
Barcelona
pia walikuwa wanamuhitaji mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina, ambaye amechagua kucheza Serie A.
0 Comments