Ticker

6/recent/ticker-posts

Anthony Akumu Agay Aaga Kaizer Chiefs

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Anthony Akumu Agay Aaga Kaizer Chiefs

Baada ya kumuweka kwenye orodha ya uhamisho, Kaizer Chiefs na Anthony Akumu Agay wamekubaliana kwa pamoja kusitisha mkataba wake mapema. 

Mkataba huo ulitarajiwa kumalizika Juni 2023.

Kiungo huyo mzaliwa wa Kenya alijiunga na Chiefs Januari 2020 akitokea Zesco United ya Zambia na alifunga mabao mawili katika mechi 47 alizocheza katika michuano yote akiwa na Amakhosi.

Tunamtakia ‘Teddy’ kila la kheri katika siku zake za usoni.

Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi


Post a Comment

0 Comments