Ticker

6/recent/ticker-posts

Ángel Di María Ajiunga Juventus

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

 Ángel Di María Ajiunga Juventus ya ItalyKLABU Ya Juventus ya Italy imekamilisha Usajili wa kiungo mshambuliaji wa Argentina Ángel Di María kwa uhamisho huru.

Di María amejiunga na juventus kwa mkataba wa mwaka mmoja utakao mwezesha kusalia turin mbaka mwezi wa sita 2023.

Di María atavalia jezi namba 22.

Post a Comment

0 Comments