Ticker

6/recent/ticker-posts

Abdi Banda Atua Chippas South Afrika

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Abdi Banda Atua Chippas South Afrika

Mtanzania Abdi Banda amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.

Kabla ya kujiunga na Chippas, Banda aliwahi kukipiga katika Klabu ya Baroka pamoja na Highland Park.

"Nimesaini miaka miwili. Nafurahi nimerudi, naomba Watanzania wote waniunge mkono na kunipa sapoti sababu sio kazi nyepesi.

"Kikubwa watusapoti na sisi wazawa. Wategemee ujio mwingine na kuona tofauti kubwa," Abdi Banda kwa njia simu.

Post a Comment

0 Comments