Ticker

6/recent/ticker-posts

Bernard Morrison Aomba Uraia Tanzania

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Bernard Morrison Aomba Uraia Tanzania

Winga, Bernard Morrison amameuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu kupata uraia wa Tanzania kutokana na mapenzi aliyonayo kwa nchi.

Morrison alisema hayo wakati akifanya mahojiano na Global TV Online kupitia video iliyowekwa kwenye YouTube yao masaa 13 yaliyopita alipiga magoti na kuomba msaada huo kwa Rais.


“Mama Samia naomba nipe passport ya Tanzania, naipenda sana Tanzania na hata kamasitocheza hapa lakini patakuwa nyumbani kwasababu naona kuna mapenzi, hii sehemu ni salama kwaiyo nataka kukaa hapa”. Alisema Morrison
Vilevile amesema kama atakubaliwa kuwa raia wa Tanzania yupo tayari kucheza timu ya taifa ‘Taifa Stars’.

Post a Comment

0 Comments