Ticker

6/recent/ticker-posts

Baada ya Kuwaliza Wydad Casablanca Simon Msuva Atua Al-Qadsiah ya Saudi Arabia.

Kwa maombi ya kazi, Bofya hapa

Baada ya Kuwaliza Wydad Casablanca Simon Msuva Atua Al-Qadsiah ya Saudi Arabia.

Baada ya kusitisha mkataba na Mabingwa wa Afrika, Wydad Casablanca, Simon Msuva (28) amekamilisha mipango ya kujiunga na timu ya daraja la pili ya Al-Qadsiah ya Saudi Arabia.

Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi

Msuva amejiunga na klabu ya Al Qadsiah ya Saudi Arabia kwa mkataba wa mwaka mmoja utakaomfanya alipwe mshahara wa USD 500,000 kwa msimu sawa na Tsh Bilioni 1.7 sawa na kulipwa USD 50,000 (Tsh Milioni 117) kwa mwezi.

Aidha, mshambuliaji raia wa DR Congo, Walter Bwalya (27) amejiunga na klabu ya Al-Qadsiah ya Saudi Arabia kwa mkopo akitokea Al Ahly ya Misri

Bwalya anaungana na Msuva ambaye naye amesajiliwa na klabu hiyo ya ligi daraja la pili nchini humo.

Post a Comment

0 Comments