Mchezaji nyota wa kilataifa Ousmane Demebele 'hajafurahishwa na ofa ya Chelsea' hivyo basi kunauwezekano mkubwa kuendele kuichezea klabu yake ya Barcelona
Nyota wa huyo Barcelona, Ousmane Demebele anaripotiwa kutofurahishwa na ofa ya uhamisho ya Chelsea.
Hayo ni kwa mujibu wa Sport, ambao wanadai kwamba ofa hiyo imeathiriwa kwa kumnasa nyota wa Manchester City Raheem Sterling kumeathiri kiwango ambacho wanaweza kumpa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa.
Hii inaweza kuwa habari njema kwa Manchester United ambao hapo awali walikuwa wakihusishwa na tetesi za kumhitaji Ousmane Demebele
Je,Unatafuta Ajira? Bofya hapa Kutuma Maombi
0 Comments