Apr 23, 2013

VIDEO: BINTI ABAKWA NA KUZIKWA AKIWA HAIMwanamke  mmoja  anadaiwa  kubwakwa  na  kisha  kuzikwa  na  watu  wasiojulikana  huko  kusini  mwa Nigeria

Sababu  za  watu  hao  kufanya  ukatili  huo  bado  hazijajulikana.Hata  hivyo, mpekuziblog  imepewa  taarifa  za  chini chini  kwamba  watu  hao  walimbaka  na  kumzika  mwanamke  huyo  ili  kuficha  ushahidi

Tazama  video  ya  tukio hilo

Post a Comment